Tuesday, November 1, 2016

Mambo vipi Network Marketers!!!! Leo Champions napenda ku share na nyinyi jinsi ya kupata Prospects kwenye Biashara yako. Kupata prospects naifananisha kama kuwa mvuvi. Ili kuweza kuwa mvuvi mzuri inabidi utumie chambo kuvutia samaki...usipofanya hivyo samaki watakukimbia.
  Hivyo hivyo kwenye Biashara ya Mtandao inadidi uwavutie wateja wako yaani Prospects. Kwenye video hii naelezea jinsi ya kufanya hivyo...
Hivyo basi ni vizuri kutambua mbinu mpya za kupata Prospects ili kuweza kukuza Biashara yako.
Nitumie Ujumbe mfupi kwenye Whatsapp : 0774 710 354
Niambie kwamba uko tayari kufanya kazi na mimi nikuonyeshe jinsi Kuwa na Biashara Kubwa.
Let's Connect
Facebook https://www.facebook.com/Mwawado/posts/
Instagram Mwawado
Niachie comment kama unahitaji training yeyote ile na niambie ungependa nielezee zaidi kuhusu maswala yapi.
Nawapenda Network Marketers wenzangu na Mungu Awabariki ni  mimi Network Marketer mwenzako Mwawado.



                                                    

Monday, October 17, 2016

NJIA 3 ZA KUANZA AU KUINUKA UPYA KWENYE BIASHARA YA MTANDO

Leo nataka kuongea na watu ambao ndiyo kwanza wameanza Biashara ya Mtandao au ambao wanataka Kuinuka upya kwenye biashara hii.
Kuna Njia 3 ambazo unaweza kuanza kuzifuata ili kuweza kuanza Biashara yako., ya kwanza kabisa inabidi utafute njia mpya za kuwashirikisha watu kwenye Biashara yako. Ukitazama kama kila mtu anafuata njia moja tu ya kuwashirikisha watu kwenye Biashara basi itakuwa ngumu kujitofautisha na watu wengine. Inabidi uwe tofauti ili kuvutia watu
Njia ya pili ni "Become Your Own Upline"  Usimtegemee mtu aliyekushirikisha kwenye Biashara , inabidi uwe kiongozi wako mwenyewe na ujifunze jinsi ya kuelezea Biashara yako na hata kuuza bidhaa zako. Hii ni Biashara yako inabidi uchukue majukumu ya kuiendeleza.
Ya tatu ni Kumbuka "Why" yako...kila mtu anasababu ya kwanini ameamua kuanza Biashara hii nzuri ya Mtandao. Pengine unahitaji kusomesha watoto , au muda zaidi na familia , Kusafiri nchi za nje aukuishi maisha mazuri bila kuwaza shida ya fedha.
Usikate tamaa hii Biashara ni nzuri na unaweza kubadilisha maisha yako.
Nawapenda wote na Mungu Awabariki!!!

 Asante kwa kuangalia video na kwa maswali zaidi nitumie message kwenye nambari +255 778 318 516 ( Whatsapp only)
Let's Connect
Facebook https://www.facebook.com/Mwawado/posts/
Instagram Mwawado
Niachie comment kama unahitaji training yeyote ile na niambie ungependa nielezee zaidi kuhusu maswala yapi.
Nawapenda Network Marketers wenzangu na Mungu Awabariki ni  mimi Network Marketer mwenzako Mwawado.  

Njia 3 za Kuanza au Kuinuka Upya Kwenye Biashara ya Mtandao

Wednesday, April 20, 2016

How To Start a Network Marketing Business From Scratch First you need to join a Company if you haven’t..
Now after you have gotten started next you need to Learn about the Company, how the product works, its benefits and its market value.
Become the product of the product. You need to use the products and have results with them so you can explain how they work and have real testimonials about the benefits.
You have to work and be productive. It’s only by working hard.  You will get to see success in Network Marketing and really you don’t have to be great to start, you just have to start in order to be great.
You need to setup achievable goals that will get you to the success you want and try to always set short term achievable goals that way when you achie4ve them the more you become motivated.
You need to learn to target the right audience because you can never sell steak to a vegetarian and this is where a lot of Net workers fail to do. When you are getting started and you want to know how to target the right audience. 90% of Net workers fail because they don’t target the right people.
Getting the right Coaching and Mentoring. Most people who are successful in the beginning they get a coach or a mentor to guide them in their journey.

Message me on Facebook
https://www.facebook.com/Mwawado/
E-mail me to find out about your free coaching maanayake@gmail.com
Follow Me On Instagram: Mwawado