Monday, October 17, 2016

NJIA 3 ZA KUANZA AU KUINUKA UPYA KWENYE BIASHARA YA MTANDO

Leo nataka kuongea na watu ambao ndiyo kwanza wameanza Biashara ya Mtandao au ambao wanataka Kuinuka upya kwenye biashara hii.
Kuna Njia 3 ambazo unaweza kuanza kuzifuata ili kuweza kuanza Biashara yako., ya kwanza kabisa inabidi utafute njia mpya za kuwashirikisha watu kwenye Biashara yako. Ukitazama kama kila mtu anafuata njia moja tu ya kuwashirikisha watu kwenye Biashara basi itakuwa ngumu kujitofautisha na watu wengine. Inabidi uwe tofauti ili kuvutia watu
Njia ya pili ni "Become Your Own Upline"  Usimtegemee mtu aliyekushirikisha kwenye Biashara , inabidi uwe kiongozi wako mwenyewe na ujifunze jinsi ya kuelezea Biashara yako na hata kuuza bidhaa zako. Hii ni Biashara yako inabidi uchukue majukumu ya kuiendeleza.
Ya tatu ni Kumbuka "Why" yako...kila mtu anasababu ya kwanini ameamua kuanza Biashara hii nzuri ya Mtandao. Pengine unahitaji kusomesha watoto , au muda zaidi na familia , Kusafiri nchi za nje aukuishi maisha mazuri bila kuwaza shida ya fedha.
Usikate tamaa hii Biashara ni nzuri na unaweza kubadilisha maisha yako.
Nawapenda wote na Mungu Awabariki!!!

 Asante kwa kuangalia video na kwa maswali zaidi nitumie message kwenye nambari +255 778 318 516 ( Whatsapp only)
Let's Connect
Facebook https://www.facebook.com/Mwawado/posts/
Instagram Mwawado
Niachie comment kama unahitaji training yeyote ile na niambie ungependa nielezee zaidi kuhusu maswala yapi.
Nawapenda Network Marketers wenzangu na Mungu Awabariki ni  mimi Network Marketer mwenzako Mwawado.  

No comments:

Post a Comment